Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Showing posts with label afya. Show all posts
Showing posts with label afya. Show all posts

Friday, January 6, 2012

Afya ya mtu, chakula na kupunguza tumbo

Afya ya mtu inahusisha Chakula moja kwa moja.

Kuwa na kitambi sio afya, watu wengi wanafikiri mtu mwenye kitambi ni afya.

Kitambi kwa kiingereza ni Obesity.

Matunda na mboga mboga zina umuhimu katika kupunguza kitambi au tumbo kwa wanawake warembo.

Inashauriwa kupunguza kula vyakula vya wanga na mafuta ili kuepuka uwezekano wa kupata tumbo. Kila mlo unatakiwa uwe na mboga mboga. Pia usile chakula ukashiba, kula chakula kiasi na jazia kwa matunda.

Usinywe maji wakati wa kula, kunywa maji kabla ya kula haswa lisaa kabla au kunywa maji masaa 2 baada ya kula.

Saturday, September 3, 2011

Aloe vera products kutoka Forever living ambazo zinapunguza kitambi na uzito

Yes, ni muhimu kufurahia ujana kwa kupunguza kitambi au tumbo.

Weight management please to enjoy life including sex.

Kuna aloe vera gel, Forever lean kupunguza unene

Tumia Forever garcinia plus kupunguza tumbo na kitambi

VACATION HOLIDAYS TANZANIA, OUTDOOR TRAVEL SPECIALIST

 
Bloggers - Meet Millions of Bloggers