Afya ya mtu inahusisha Chakula moja kwa moja.
Kuwa na kitambi sio afya, watu wengi wanafikiri mtu mwenye kitambi ni afya.
Kitambi kwa kiingereza ni Obesity.
Matunda na mboga mboga zina umuhimu katika kupunguza kitambi au tumbo kwa wanawake warembo.
Inashauriwa kupunguza kula vyakula vya wanga na mafuta ili kuepuka uwezekano wa kupata tumbo. Kila mlo unatakiwa uwe na mboga mboga. Pia usile chakula ukashiba, kula chakula kiasi na jazia kwa matunda.
Usinywe maji wakati wa kula, kunywa maji kabla ya kula haswa lisaa kabla au kunywa maji masaa 2 baada ya kula.
Home » vyakula » Afya ya mtu, chakula na kupunguza tumbo
Friday, January 6, 2012
Afya ya mtu, chakula na kupunguza tumbo
Another Articles afya, kitambi, matunda, mboga mboga, vyakula
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment