Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, July 13, 2011

Afya yaani Health na Urembo yaani Beuty using ALoe Vera naturally

Afya na Urembo

Afya na urembo ni sekta ambazo zimeteka ulimwengu mzima.Muda na kipato vyote vinaenda kwenye afya na urembo.

READ MORE ABOUT BENEFITS OF ALOE VERA PRODUCTS, NATURAL AND REAL

Afya: Mtu yeyote hawezi kufanya kazi bila kuwa na afya nzuri. Mafua yaani flu au kichwa kuuma -headache vinatosha kumfanya mtu asijisikie vizuri na hivyo kushindwa kutimiza majukumu yake vizuri.

Kinga ya Mwili yaani Body immunity ni vitu muhimu ili vitu vidogo kama mafua vipite mbali na wewe. Pia magonjwa kama malaria yanategemea kinga ya mwili - body immunity. Kuna vitu vingi ambavyo husababisha upungufu wa kinga mwilini, kama lishe duni, mpangilio mbovu wa vyakula.Sumu katika mwili inaweza kupunguza kinga katika mwili wako. Vyakula fulani fulani au kuugua kwa muda mrefu. Meals, foods,drinks,alcohol brings alot of poison to your body. Kwa mfano mtu akiugua na akanywa dawa, kuna baadhi ya sumu za ile dawa hubaki katika mwili na hujificha katika mifupa - bone marrow.


SIO DAWA ZA KICHINA NDUGU EEE, NI DAWA ZENYE UBORA NA TAASISI YA MADAWA NA CHAKULA YA TANZANIA IMETHIBITISHA. NI AMERICA STANDARD, SI UNAJUA UBORA WA VITU VYA MAREKANI JAMANI.
Aloe Vera ni mmea ambao una uwezo wa kusafisha mwili, kuondoa sumu zote na pia kuondoa sumu katika mwili. Aloe Vera zipo aina nyingi ila kuna aloe vera aina moja ambayo imethibitishwa na INTERNATIONAL ALOE VERA LABORATORY. Basi ukipata juice ya Aloe Vera hii utapata manufaa makubwa..

Kuna bidhaa pia za Asali na Aloe vera kama lotion, vitamins and nyingine nyingi. UREMBO: Kuna dawa nzuri za kuondoa chunus (Pimples and acne) na kuponyesha kabisa. Pia kuna After shave ambazo zitaondoa vipele vyote kwa videvu. Kuna dawa za meno ambazo hazina fluoride na hazina madhara hata mtoto akimeza. Mimi nimeshatumia dawa zote hizo zote na nikaona manufaa yote. Mimi kwa sasa napatikana Arusha, ila naweza kuja mkoa wowote au naweza kukutumia dawa popote. Aloe vera inaponyesha kisukari. Kuna dawa za kupunguza weight, kuzuia kansa na mengine. Pia kuna fursa ya wewe kufaidika kiuchumi na kiafya. Dawa zina ubora wa hali ya juu.

CONTACT ME FOR MORE INFORMATION ON HEALTHY AND BEUTY ALOE VERA PRODUCTS. 0784811095

VIRUTUBISHO NA VINYWAJI ASILI KUTOKA ALOE VERA NA ASALI YA NYUKI - FOREVER LIVING.

Kuna juice za aloe vera ambazo huondoa alergy yaani mzio,

aloe vera juice za watoto zipo, zina manufaa kwa wale watoto wavivu kula. mtoto akinywa hii atapata hamu ya kula.

Inamkinga mtoto dhidi ya magonjwa

Kwa wale wanaotaka kupunguza uzito wa mwili wanaweza kupata juice au virutubisho vya kupunguza hamu ya kula na pia kupunguzia mwili unene.

Kuna juice ya kufanya mwili uongeze uzito kama unataka

Pia unaweza kupunguza kitambi

Kupunguza mafuta mwilini

Kuna lotion na cream za kufanya kufanya ngozi laini nyororo

Kuna after shave za wanaume

Deodorant


free counters
Free counters

Ditulis Oleh : admin // 10:56 AM
Kategori:

0 comments:

Post a Comment

 
Bloggers - Meet Millions of Bloggers